@MariaSTsehai Lile tangazo la mulliro linathibitisha kilchovuja juu ya hukumu ni kwel, maskin lisu ila Mungu c mwanadam huenda ameruhu hili tujionee nia ov ya mtesi wake japo cku c nying hiki kikombe na yy atakinywea Tena Kwa maumivu makal mno!
@bbcswahili Uchambuz mzr japo cna Iman na dhamira ya watawala ktk kulijenga taifa hili hasa ukzingatia kaul za kejel wanazoztoa huu ya uhai wa watu uliopotea.