Sio tu watatwaa hili taji la EPL bali nimeanza kuwa na wasiwasi watakuwa Invincible na hivi mtetezi wetu Pep ambaye huwa anawajulia kuwashona hayupo basi daah, tafrani ๐ค๐ค๐
@NashiruMusa18 Kusafirisha kwa meli
1.itategemea gari umenunua mji gan
2.kuisafirisha gar hiyo hadi port utakapoipakia na kulipia ghrama za meli
3.gharama za bandar daslam
Kisafirisha kwa road nafuu
1.ukinunua Reg car mafuta na boda clearance zote 1m-2m japo itategemea na aina ya gari husika
Jamaa anadai kuwa hakuna msanii wakike Bongo mwenye nguvu ya ushawishi kwenye biashara kuzidi Niffer, hivi anamjua Lady Jay Dee huyu au Gen Z tumsamehe๐ ๐
@TTCLCorporation mmekuwa wezi sana wa vocha zangu maana kila ninapoongeza salio mnamega kiasi cha pesa bila maelezo ya ziada.. imekuwa too much zaidi ya mara kumi mfululizo pasi kufanyiwa kazi..huu wizi unakwaza