Uchaguzi serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni hapa nchini. Hizi media saivi zipo kusukuma mbele uongo zaidi kuliko ukweli, hebu jaribuni kubadilika tunataka watu wanaoweza kusema hapana ni hapana, kusema ndio husimamia ndio yao. Acheni unafiki.
Hahaha! Huu upuuzi wa kunyima uhuru wa kutoa maoni sasa umefikia kiwango cha juu zaidi, leo kwenye kipindi cha meza ya duara cha @DeutscheWelle kinachorushwa na radio washirika kiswahili, #UFM Radio ya makampuni ya #BAKHELESA imekikata kipindi kisa kinachambua changamoyo za
@allen_daud@EduTalkTz Of all people wenye tofauti ya imani walio comment you the only one seem able to meet halfway with anyone tofauti na imani yako.
It's good for you brother? Wachache wenye utimamu ndio wenye dini
@EduTalkTz Sheria ndivyo inavyotaka na sio wao kutaka hivyo ila ni Mungu mwenyewe aliweka hiyo hukumu, mfn ukiwa na Mungu mwingine hukumu yake unapigwa mawe hadi kufa.
Kipindi hiki cha neema, kusamehewa bure kwa dama ya Yesu ndio kumekuja kuondoa hiyo hukumu lkn wayahudi bado wanaendelea
Kinachoyauwa makanisa mengi ni waumini kuweka matumaini yao kwa mchungaji, nabii,mtume,mwalimu, mwinjilisti bada ya kuweka hayo matumaini kwa Bwana Yesu. Akifa huyo mtumishi kanisa lote linasambalatika.
@LaiMunisi Mimi nasimamia nakuishi kweli ya Mungu inayopatina ndani ya Neno lake, maisha ndani ya Kristo hayana siku 40 za kufunga kwajili ya pasaka huu ni uongo na miongozo ya kipagani isio na uhai wa kiroho.
Matendo yako mabaya unayoyaonyesha, unayotenda jua ndivyo ulivyo ndio tabia yako, usijifiche fanya kwa uwazi ila jua hukumu yako ipo, mwisho wa hayo yote ni jehanamu ya moto wa milele.