@FloryOKANDJU@NIJIMBEREMarie1@ccttfaorg A milestone for the Regional transport sectoral advancements and a furthering of mended trade relationship between Tanzania & Burundi. Congratulations @ccttfaorg for coordinating. We need more of such.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ally S. Possi akizungumza pamoja na kutoa shukrani kwa Shirika la Anga Duniani (ICAO) kwa kukamilisha mradi wa uimarishaji na udhibiti wa Usafiri wa Anga ambao uliofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China uliogharimu takriban Dola Milioni Moja katika kikao kazi cha kuhitimisha mradi huo kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi @allypossi ameutaka uongozi wa @MSCLtz kuongeza Kasi ya kuwasimamia wakandarasi wa Gas Entec anayejenga Meli ya MV MWANZA jijini Mwanza na KTMI CO- LTD anayekarabati Meli ya MT SANGARA mkoani Kigoma ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati
1/2.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zaidi juu ya matumizi ya Mfumo wa ufuatiliaji wa mwenendo wa mabasi (VTS)
@omarilyas IGA is as good as any other international treaty/instrument which to be fair do not contain time frame - some of BITs as well. This one is a PROJECT SPECIFIED TREATY - operational contracts will demonstrate the time frame not IGA.
@IbrahimMassenge@MarekaMalili Makubaliano haya kwa aina yake, mda wa utekelezwaji utategemea OPERATIONAL CONTRACTS. Huwezi weka katika IGA kwani makubaliano na entities bado. Ibara ya 23(1) inajieleza vyema. Kuhusu sheria, ibara ya 21 inasema operational contracts zitatumia sheria za TZ.
@amnesuedi @Semkae As a matter of fact, in addition to that, IGA is an international instrument - ANY DISPUTE CONCERNING IGA has to be resolved on neutrality principle. Art 21 of IGA is clear as well. Highlighting that operational CONTRACTS will be governed by the Laws of Tanzania.
Katika ziara nchini Korea, Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi wa Tanzania nchini humo @tonytogolani .
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi akutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya Hyundai Rotem nchini Korea ambayo ilipata zabuni ya kutengeneza vichwa vya treni ya SGR 17 na seti 10 za treni za mwendo kasi (EMU) na pia amekagua maendeleo mradi huo.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni Sung Shin Rolling Stock Tecnology nchini Korea na kukagua mradi wa kutengeneza mebehewa 59 ya SGR ambapo kati ya hayo 59 mabehewa 14 yaliwasili nchini mwezi Novemba mwaka jana.
Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Uchukuzi Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha Reli ya kisasa kipande cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili aweze kukamilisha ndani ya Muda.
#KitengeUpdates