Leo tumefanya ziara katika Matawi matatu yaliyopo mikoa tofauti ya Zanzibar kwa lengo la kuhamasisha Wana Simba kuja kwa wingi Uwanjani siku ya Jumapili
Ziara ya ilianzja Tawi la Mkwajuni lilipo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Tukaenda Tawi la Bumbiwini tukamalizia Tawi la Mbuzini
Dhumini letu sio tu kujaza Uwanja, bali kuwapa morali Wana Simba waje kushangilia timu yao kwa nguvu zote
I still feel like Simba need more pace in their attack,maybe Mpanzu will change that,i also need to see quick passing and more movement i know its difficult for that to happen with a team defending with 9 players close to their box but even during open games we barely see that
Timu hii itaacha sana makocha lakini Kuna wakati wachezaji unaona hari yao ya kupambana ipo chini tu why always wao tu wawe hawana hari .
Incase Azamfc mbona waajiri makocha wazuri na wenye vigezo vyote why wachezaji kila wakati wapo chini wao tu .match 5 wapo vizuri match 3 ovyo
Habari za ukakika kabisa ni kwamba baada ya kipigo cha jana cha 2-1 kutoka KMC na timu kuondoshwa Kombe la Shirikisho la CAF, AZAM FC wameachana na Kocha wao mkuu. Kilichobaki ni kutangaza tu kati ya leo mpaka Jumatatu, timu itakua chini ya Kali Ongala na Badru.