It is approximately 50 minutes long, informative and enlightening about something called auditing. An interview between Masoud, Shadrack, and former CAG CPA Charles Utouh.
@JumaAyoo Kaka ni kitu kigumu sana kuweza kutoa kwa msimu huu na hata misimu inayokuja mbeleni kwa Simba kuchukia mchezaji muhimu wa Yanga.
Simba wanabanwa na mfumo wa uendeshaji wa Timu ambao unapelekea kuwa na migongano ya Viongozi kutaka madaraka ya juu au kati ya Uongozi.
@manafi_daimu Kama kushinda Ligi ya Ndani amechukua hadi Kocha John Simkoko mara mbili akiaa na Mtibwa Sugar.
Football yw Afrika sio kuwa tu na Kocha Mkubwa bali kuwa na Daraja bora la Wachezaji, Mipango, Fedha ndio anakuja Kocha.
@manafi_daimu Kwahiyo unachukua ambaye yupo bora kwa kufika Nusu Fainali msimu huu.
Kwahiyo Rulan ni bora kisa kachukua PSL misimu miwili?
Mashindano ya CAF?
@manafi_daimu Katika hiyo orodha ya mifano hakuna hata kocha aliyefanya vizuri ndani ya Soka la Afrika hususa Tournament za Afrika.
Sometimes unakosea sana tena sana.
@manafi_daimu David De Gea ni Mchezaji wa Manchester United na hufanya kazi yake kwa usahihi.
Philip Lahm aliwahi kusema kuwa Tuzo ya Mchezaji bora iwe inaitwa Tuzo ya Mfungaji bora.
Lengo likiwa kupinga zana mbaya na potovu kwa kuto thamini uwezo wa Wachezaji wengine, timu inategemeana.
@manafi_daimu Michael Platin, Johan Cruffy, Zico n.k hao ni mifano ubora wa Messi upo kwenye macho yako katika kizazi hiki na sababu zako wapo watakao kwenda kwa Ronaldo na wengine kwasababu zao.
@privaldinho Please acheni hizi Kampeni hazina Faida yoyote katika Kukuza Soka letu.
Nyie ndio Wachambuzi mnatakiwa kuja na Football Facts, Statistics, Analysis and Tactical Difference baina ya Bwalya na Babu Kaju.
Mashabiki mtakuwa mnatuonea.
@RahmaMwita Kila Mwanadamu huwa na inner behavior ambao huwa kubadilika kwake ni ngumu.
Endapo linatokea Tukio la aina hilo usiwe una hukumu direct bali chunguza chanzo cha jambo hilo ni kipi zaidi.
How many women waliwachoma wanaume zao au kuwamwangia maji, maharage n.k tuombe kwa Mungu.
@gift_macha Wewe ni Mwandishi wa Habari za Michezo na pia ni Kocha, tunategemea kutoka kwako utupe facts and reasons Kwanini Kocha Nabi aanze na Wachezaji hawa kuliko kutoka kwetu Mashabiki.
@Khalidchukuchuk Unataka Prime ya Banda na Moloko wakiwa kwenye Ligi gani?
Umewaona au kuanza kuwafuatilia wakiwa wapi?
Please, Acha hizi Kampeni hazina msaada wowote ule kwenye career yako zaidi ya kutengeneza Daraja la kuonekana wa Mchongo.
@shaffihdauda1 Kila Taasisi humpa CEO wake Malengo ya kutekeleza kwa wakati ukiachana na main role reduce costs(expenses) and increase income(revenue).
Inawezekana Simba walimpa Senzo project nyingine na Babra nyingine. Upo karibu na Viongozi wa Simba uliza project za CEO wote wawili.
@15Ariano@KSingo2020@salimosaid Niliwahi kukaa na Kocha John Simkoko ni moja ya Makocha walienda kufundisha Mpira Nje ya Nchi.
Alisema hivi βjiulizeni Kwanini Makocha wao wanakuja kwetu kufundisha Pamoja na Wachezaji wao kuja kwetu.β
Maslahi na Soko ni vitu muhimu.
@KSingo2020@salimosaid Ben Mwalala alikuwa Kenya hapo, shida sio Makocha kwenda Nje kufundisha Bali Mazingira ya huko yana wahitaji Makocha wetu.
Mbona hatujiulizi Kwanini Makocha wa Kiingereza hawatoki ndani ya Ardhi yao na kama wakitoka basi huwa wanaanza Maisha.