@chandeabuu@EngMapundajr @KingPablotz Umbali halisia sijahakiki lakini iwapo barabara zote zinaflow fresh, Mbezi Buguruni watumia muda mfupi kuliko via Kinyerezi. Ile milima, kona, matuta ka 'buku' hivii n.k plus single lane, wakati huku Moro Rd ~ Mandela kote dual lanes unateleza tu chaap
Matukio Baada ya Uchaguzi 2025: Namna Majirani Nane Walivyouwawa Kinyerezi Dar es Salaam
Mpaka sasa kunguru na nzi wamezuka eneo ambapo majirani nane wa mtaa wa Kanga-Kariakoo, Kinyerezi, jijini hapa, walipouwawa. Kabla ya mvua kunyesha Novemba 4, 2025, harufu ya kifo ilikua ndiyo alama ya eneo hilo. Mvua iliweza kusafisha baadhi ya mabaki ya viungo vya binadamu yaliyokuwa yamebaki, ikiwemo damu nzito.
Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Novemba 3, 2025, majira ya saa tisa. Majirani hao waliuwawa zamu kwa zamu kwa kupigwa risasi. Hii ni baada ya kuambiwa wajilaze nyuso zao zikiangalia ardhi, na kuamrishwa kusali sala ya mwisho.
Majirani hao ambao nyumba zao zimefuatana katika mstari mmoja, walikuwa ni afisa polisi mstaafu, walimu wawili, dereva, wauza duka wawili, afisa wa benki na mfanyabiashara ndogondogo.
โHapa kulikua hakufai kabla ya hii mvua kunyesha, wao walikuja wakamwagia mchanga, lakini kulikua hakufai, mvua imesafisha safisha, kidogo,โ moja ya majirani alitueleza hali baada ya mauaji hayo.
Tukio hili lilianza baada yaย duka la jumla lililopo katika mtaa huo kusikika kuwa limevamiwa na vibaka. Polisi mstaafu aliwaongoza majirani wenzake kwenda kuimarisha ulinzi katika eneo hilo, ambapo pia aliamua kupiga simu na kuita polisi.
Polisi wenye silaha walivyofika kwenye eneo hilo waliwaamrisha wote kulala chini. Licha ya kujitetea, hoja zao hazikuweza kufua dafu. Waligawanywa makundi mawili, wakitenganishwa na barabara ambayo imegawanya makazi yao, upande wa kulia na kushoto, wengine wakawekwa karibu na duka hilo la jumla, na wengine wakawekwa upande wa pili, pembeni ya nguzo ya umeme.
Soma Zaidi>>>https://t.co/KPjnwOfgbf
@Kephawao@ensungwe_@MarekaMalili Probably huo ndio wakati alikua bado anapewa ushirikiano kwa kulipwa ndio hadi ikaja fika hiyo dola 20M so hakukua na haja ga kushikilia mali, nadhani yy alipoingia itakua alisitisha hayo malipo.
@kamutonzi@salim_alkhasas@FreddyMfugale@MarekaMalili Zipo case mbili tofauti hapa, Bashiru Ally na Arafat. Baada ya michakato ya uchaguzi kuisha na iwapo akikosa having been CEO kwa hizi taasisi mbili kubwa kwa muda kadhaa, iwapo tenure zake za uongozi zilikua na tija Arafat stands a chance ya kuteuliwa tena sometimes later huko.
@__tx2025 @gcngo88 Wakati mfuko wa EOTF (Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote) unatamba haukuwapo nchi hii Mzee? Habari za mwenza wa Rais kuwa na asasi ya kuhudumia jamii ilianzia kwake, aliyemfuata ya kwake aliita WAMA. Taasisi hizi zilikua zikihudumiwa kwa public funds. Zilikua na tija ๐คท๐พโโ๏ธ? Sifahamu