Kushoto; Gavana wa Murang’a (Kenya), Irũngũ Kang'ata amenunua lori litakalobeba mashine ya kuchuja damu na kuondoa uchafu mwilini (Dialysis)
Kulia; Mbunge wa (CCM) jimbo la Dodoma Mjini (Tanzania), Anthony Mavunde amenunua lori litakalobeba maiti (gari la mazishi) kwenda kuzika.
Tangu kamati kuu, baraza kuu na mkutano mkuu uazimie kwa pamoja kuhusu kauli ya “No Reforms No Election��.
Sisi Kama chama tumefanya na tunafanya majadiliano na viongozi mbalimbali, taasisi za ndani na za kimataifa, balozi, viongozi wa dini, vyama vya kisiasa .
Baadae tutakwenda kwa wananchi hii ni katika kujenga uelewa na ushawishi kuhusu ukweli wa wazi kwamba Nchi hii hakuna uchaguzi tena.
Ndio maana tunaomba Watanzania watuunge mkono katika mapambano haya ya kufanya uchaguzi katika Nchi yetu uheshimike.
Katika mazingira ya sasa hakuna uchaguzi ni uhuni na uongo na sisi hatuko tayari kuwa sehemu ya ku sanitize uhuni.
#NoReformNoElection
Huu utaratibu nimeupenda, Natamani @NIMR_Tanzania wawe na utaratibu kama huu ili kuvutia vijana wengi waingie na kujihusisha na masuala ya utafiti hapa nchini.
We are excited to welcome the 2025 School Leavers Attachés to @KEMRI_Wellcome! Over the next three months, 12 young talents will receive quality career guidance and mentorship, shaping the next generation of African research leaders.
#AfricanResearchLeaders
@ChiefLumanyika @ExMayorUbungo Don't get lost with outdated map, mi naona kama vile umeanza kutumika vibaya, mbona kwenye press alikuwepo na aliomba follower's wake waunge mkono hii kampeni ya tone tone.
@ThatBoyKhalifax Kwa mikakati ilivyowekwa, na jinsi walivyoanza kuitekeleza mi naamini hii slogan ya no reforms no election inakwenda kufanikiwa. watu wenye imani haba kama nyie endeleeni kukaa na maoni yenu kama haya.
@Neto_Tanzania Hizi movement mbili zikifanikiwa (NETO +UYAM) vijana tutakuwa tumepiga hatua kubwa kufikia ndoto zetu. Initiative za namna hii ndizo huwa zinaleta mageuzi. Sauti ya vijana ni sauti ya umma
Ready to make a difference in global health? Join our interdisciplinary team for 2 PhD studentships focusing on vaccines & AMR control! Based in Kenya at @KEMRI_Wellcome and in Malawi at @MLW_Programme
Deadline: June 31, 2024.
Details: https://t.co/Va3J19kuUK
Share Widely
Hayati rais JPM ndiye amejenga SGR, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) & Daraja Kigongo-Busisi. Tangu Serikali hii ishike madaraka imekuwa IKIDOGOSHA juhudi za huyu mzee! Hata baadhi ya Mawaziri hawamtaji kabisa JPM kuhusika na hii miradi! Hii si sawa hata kidogo.
Acquire a better understanding of Molecular mechanisms of parasitic infection and strengthen your capacity in drug Discovery and vaccine development by attending this unique training course. #consecptsINparasitology
Still time to apply for #CiP2023 for full fee-paying places until the 18th of August. Note that the deadline for applications for CiP scholarship-supported places is not being extended and such applications have now closed. #conceptsinparasitology https://t.co/IDzrgXgS14
Join thought leaders and experts in advanced Laboratory techniques in enlightening Scientific conference to elevate your skills and knowledge to New dimensions 🔬🔬
Brethrens, Welcome to @MeLSAT_tz 36th SCIENTIFIC CONFERENCE , EXHIBITION & AGM.
●WITH A THEME "The Quality& Reliable Laboratory Results in Relation to Universal Health Coverage"@wizara_afyatz@CdcTanzania
●The deadline for Abstract Submission is on 31st August,2023.
@LelloMmassy Negotiations ni skills ambazo mtu anajifunza kutokana na taaluma yake na haina uhusiano wa moja kwa moja na A, B au kalai (C). kwahyo mtu anaweza akawa na A zote lakini asiwe na uwezo wa kunegotiate na mwingine akawa na makalai yote lakini akawa mzuri sana kwenye kunegotiate🙏