@fatma_karume Hujaelewa hiyo stemp ya siri maana yake. Hamna neno kwny hiyo barua imeamdikwa siri ya nchi. Acha https://t.co/XCLRHPgmp2 utaratibu wa taasisi kuna aina mbili za barua, 1.barua ya wazi ambayo inapita masijala kwa uwazi 2. Barua ya siri inatakiwa aonemuhusika tu aliye pelekewa.
@dsm2029@evaristondwang2@TanzaniaLeaks Hata wewe ni kafiri. Maana ya kafiri ni neno la kiarabu linalo maanisha infidel (english) au asiye amini kwa kiswahili, sasa hata wewe kwa dini ya kikisto ni mtu asiye amini kwaiyo na wewe ni kafiri kwa wa kristo au kwa wayahud n.k ππ
@ThePurpose5060@thenameisyusuph@KiangiAri@godbless_lema Watu hawaogi sababu ya umeme? Unachanganya maji na umeme. Alaf jenga hoja tu mzee usi mu attack mtu personal, mambo ya mtu kua na akili na mpumbavu sio poa na ishara nzuri kwenye uwezo wa kujenga hoja. Kwa kifupi umeme wa mabwawa upo advanced saiv alongside technology inavyoenda
@KiangiAri@Georgafricanbee@godbless_lema Kupungua au mto kukauka kabisa kua jangwa? Coz kinacho hitajika ni msimu mmoja tu wa mvua. Na kupungua sio issue bwawa likijaa
@KiangiAri@Georgafricanbee@godbless_lema World bank and imf kama unawafata hawa na wewe ni mwafrika then umepotea, hizo ni institutions zinazo tekeleza ya west na kukndamiza nchi zinazo endelea, for decades wamefanyahivyo kama hujui basi pole, juzi tu EU bunge linaongelea bomba la ug-tz lisijengwe je lao la gas frm rsa?
@Fahd78585443@godbless_lema Ulitaka uitumie wewe yote hujui kuna kizazi kijacho unataka wakute mashimo tu, uingeleza wana gas lakini hawachimbi wananunua unadhani wajinga, wanataka resources zao zibaki for generations nyie mkiona kitu mnataka mki utilize chote hata kama kuna alternatives
@KiangiAri@Georgafricanbee@godbless_lema Mradi haujakamilika utazalishaje umeme saivi? Mradi unakamilika2024 . Na ushaambiwa bwawa ni la kisasa likisha ingizwa maji once huana haja ya kuomba mvua kama mabeawa mengine ya kizamani tuliyo nayo
@majura_jr@godbless_lema Sio kila umeme wa maji hauna guarantee , ile project ya nyerere dam maji yanakingwa na kuhifafhiwa so yakisha jaa huo ukame hata upige vipi project haiwez kua affected, muwe mnafatilia vitu bas
@KiangiAri@godbless_lema Haina mipaka, lakini hiyo miradi wamesha angalia hizo impact za kwenye mazingira, huezi fanya Maendeleo na kuwe na zero impact kwenye mazingira, kuna accepted levels . Ukisema hivyo basi inabidi tuishi maporini hata kujenga ni uharibifu wa mazingira
@KiangiAri@godbless_lema Ile project ya nyerere dam maji hukingwa mara moja na kuruhusu flow ya maji kama kawaida, hiyo global warming unadanganywa africa nzima ina emission ya 3 percent, hao wanao piga kelele za global warming ndo wanatoa emission ya 97 percent, endeleeni kuwaabudu tu
@LeyanBenedict@godbless_lema Mradi wa gesi kwenye umeme una gharama kubwa kwakua gesi ni ghari kuliko maji hivyo wananchi wanaweza ku afford umeme wa maji pia maji hayaishi ni kuya manage tu ila gas inaisha so ni bora kuitumia kwa matumizi yasiyo na mbadala, kama kupikia na kuuza nje tupate fedha za kigeni