@CkrissBamanyisa@godbless_lema Usichokijua ni hiki: barabara zote zinazodhaniwa zilijengwa chini ya usimamizi wa Magufuli hata asingekuwapo bado zingejengwa (na si ajabu kwa ufanisi mkubwa zaidi).
@fbuyobe Ni mfugaji, lakini hajagundua kuwa anauza hayo mayai kwa urahisi kwa kuwa ni mkuu wa mkoa. Wanunuzi wake huenda ni wale wanaotegemea hisani ya mtindo fulani kutoka kwenye dawati lake la ukuu wa mkoa.
Lakini kwa kauli yake hii ameonesha sura yake iliyofichika: hajali wasionacho
@zarahussain999 You should be ashamed of putting something like this in public. You want to see that supermarket ransacked (because that's what will surely happen)? Morocco isn't that poor, so why that lot wanted to illegally enter in Spain? Or you people just want to occupy al-Andalus?
@SuphianJuma@SuluhuSamia The fact umewataja CHADEMA (na kuwaacha kina UDP na NAREA ambao most likely hawakuwepo pia) umetuambia kuwa moyoni mwako UNAJUA kuwa CHADEMA wana upekee unaomtisha kila anaehusika
@SuluhuSamia Unfortunately, ukweli unakutazama machoni na kukukumbusha hali halisi. You can't wish away what needs to be faced and done.
Unavyozidi kujichelewesha ndio hali inazidi kuwa mbaya na ngumu. Face it, do what is needed of you to do. Parody accounts zinazokusifia HAZITAKUSAIDIA KITU
@SuluhuSamia Ukifanya hivyo, Watanganyika walio wengi watakusamehe. Utakuwa umejisafisha japo kidogo. Ni kwa manufaa yako na uzao wako ukifanya hivyo. Na ukikiri moyoni hayo mwako, na kwa moyo wa dhati kabisa utasemehewa na Muumba wa Mbingu na Dunia.
HIARI NI YAKO
@SuluhuSamia Mimi ni raia wa kawaida kabisa. Nakushauri ufanye hivi: Kubali kuwa kulikuwa na makosa, waachie huru wafungwa wa kisiasa, vunja hicho kinachoitwa ni bunge. Karibisha watu na muunde serikali ya mpito itakayo ratibu katiba mpya na uchaguzi wa haki na huru ufanyike baada ya hapo
@SuluhuSamia Kuwa na watu ambao hata WEWE binafsi unajua hawana impact kunazidi kukuharibia. Kumbuka kuwa kila chenye mwanzo kina mwisho. HAKUNA mtu mkamilifu duniani, cha maana ni kukubali kwa dhati kabisa kuwa kuna makosa yaliyofanyika kutafuta suluhisho. USIDANGANYIKE na hao wanaokusifu
@SuluhuSamia Unajidanganya kama unadhani Watanganyika sasa hivi wanakuamini. HAKUNA chama chochote cha siasa ulichokutana nacho leo. Unajua KABISA ukitaka kufanya mkutano na ukakubalika kuwa ni wa vyama vya siasa ni kina nani wanapaswa kuwepo. Jaribu angalau upunguze sifa mbaya uliyojipa
@barakawamb@HecheJohn Ukweli ni kuwa kwa mujibu wa serikali ya ccm kuna ugaidi nchini. Na kuwepo kwa ugaidi ni ukosefu wa usalama. Sasa sehemu isiyo salama kwa nini kufanyike mashindano (yatakayoleta watu wengi sana toka nje) wakati mikutano (isiyokuwa na watu hata 10% ya hao) hairuhusiwi?
@Sawahili20@barakawamb@HecheJohn Sawa, ndio maana AFCON haipaswi kufanyika Tanzania maana kuna ugaidi. Ifanyike mahala pasipokuwa na ugaidi kwa usalama wa washiriki.
@barakawamb@BrendaRupia Tafadhali naomba utuambie kuwa ulichoandika hapa ni utani maana ni UPUMBAVU ambao hauwezekani kuhusishwa na mtu. Yaani siamini kuwa kuna uwezekano wa mtu kuwa MPUMBAVU kiasi hili....
Kindly prove that you are not impossibly stupid....