@mshambuliaji Katika tathinia hii ya uandishi wa habari Tanzania hakuna mtu mjinga ambaye haelewi anacho andika mchonganishi kama kitenge kila siku ni kuzungumzia vibaya timu ya simba yeye anajua anatubomoa kumbe ndiye anaye ibrand club yetu pendwa
@SuluhuSamia Hakuna Yanga bila simba leo umejirudishia mbona mechi zilizopita tulikufunga mbili hamkusema simba iwe team ya Taifa?nusu nyie msitusumbue
@Jambotv_@SuluhuSamia Kwanini tupigane usiku na mchana kama uchaguzi utakuwa wa huru na haki mjomba au ndio na wewe unataka uteuzi???hiyo imeenda mama nae anajitambua na anawajua wa kuwa teua,,,sisi huwa hatupigani wenyewe mtapigana na Mungu
@RoseMakei@lifeofmshaba@SuluhuSamia@kitilam Kitila acha unafiki hiyo ni sauti yako wewe binafsi usituhusishe sisi wengine wananchi wa wapi wameyasema hayo?Fanyeni mambo ya msingi ya kutuletea maendeleo siyo upuuzi huu kuitwa mama Taifa sio tija sisi tunataka maendeleo
@BRILOCORABACEE1@Jambotv_ Vitu walivyonyang'anya si mali yake?na wao wanafanyienje uchunguzi wa vitu ambavyo havina document zozote wamrudishie mwenye navyo
@SimbaSCTanzania@SuluhuSamia Najua kuna watu wana pata shida sana Mheshimiwa Dr samia suluhu Hassan kuja kwenye tamasha kubwa la kihistoria la simba ...nawambia mtapata taabu sana