🧵
Kumekuwa na mijadala mingi mtaani ikuhusishwa Upungufu wa homoni ya kiume ya testosterone na ukosefu wa ndevu.
Baadhi ya watu wanaamini kutoota ndevu Ni Upungufu wa homoni ya kiume, je kuna ukweli kiasi gani kuhusu Hilo?
Kila siku wataalamu wa afya wanataja kuwa uzito uliopitiliza ni chanzo cha matatizo ya afya ikiwemo kisukari, presha, kiharusi na magonjwa ya moyo.
Kwa mujibu wa WHO, Hatari ya Matatizo ya kiafya inaongezeks pale Tu uzito unapozidi hata kwa kiwango kidogo na...
Watu waliokatika hatari ya kupata ugonjwa wa figo, kumbuka Figo ndio kiungo Pekee kinachuhusika na kusawazisha kiwango cha maji mwilini lakini pia huhusika katika uondoshaji wa taka mwili na sumu mwilini.
Mazoezi yanapunguza msongo wa mawazo, yanakuoa furaha na yanaimarisha afya yako!
Hata kama wewe ni kimbaumbau, ingia field Fanya jogging, nenda gym, ...Usidanganywe eti mazoezi ni ya vibonge Tu!
🧵
Vyakula vinavyoweza kudhuru figo zako:-
1. Vyakula Vyenye Sodiamu Nyingi.
E.g matumizi ya chumvi nyingi kama ulaji wa fast foods ambazo Mara nyingi huwa na chumvi nyingi.
Kutoka katika ripoti ya shirika la afya duniani (WHO) 2019
Watu takribani milioni 3 hupoteza maisha kutokana na matumizi ya pombe na dawa za kulevya kwa mwaka duniani.
Tarehe 7 septemba kila mwaka ni siku ya kuadhimisha wanaume wenye ndevu duniani. Kumekuwa na mijadala mingi mtaani ikuhusishwa Upungufu wa homoni ya kiume ya testosterone na ukosefu wa ndevu.
UZI MFUPI 🧵
Kuoga maji baridi kuna faida nyingi. Maji baridi huathiri sehemu ya "nukta ya bluu" au kitaalamu locus coeruleus katika ubongo, ambayo hutoa homoni ya noradrenaline, inayohusika na kupambana na mfadhaiko. Hii husaidia kushughulikia hali ya kukosa furaha na kupunguza ukali wa..
Epuka hisia za kutojithamini kwasababu ya changamoto za maisha, kumbuka kila Mtu anafanya makosa na kila Mtu anamatatizo, jikubali na jipe thamani, zungumza na Mtu wa karibu usikae kimya.
Epuka kukaa peke yako, jichanganye na ndugu, Jamaa na marafiki.
FAHAMU VIASHIRIA VYA DAWA BANDIA
UZI 🧵
Usiondoke dukani bila kufanya mambo haya muhimu ili kuepuka kutumia dawa bandia ambazo huchangia kuongeza hatari ya kupata madhara mabaya yatokanayo na matumizi ya dawa. Kwa mujibu wa ripoti ya WHO ya mwaka 2019, kumekuwa na
Kitabu cha #TheNaturalRemediesEncyclopedia, toleo la 6 kimeitaja chai ya ndevu za mahindi (Corn silk tea) kuwa na faida hizi kiafya:-
1. Huzuia maambukizi kwenye tezi dune (Prostatitis), Kibofu cha mkojo( cystitis), mrija wa mkojo (Urethritis) na figo.