@OleMtetezi@MarthaKarua Ni vema suluhisho la mgogoro huu wa kidiplomasia likapatikana haraka. Hii inaathiri sana mustakabali wa udugu wetu na ustawi wa Africa mashariki.
Ninajisikia heshima na furaha kubwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika @WHOAFRO .
Huu si ushindi wangu binafsi tu, bali ni ushindi wa Waafrika wote katika azma yetu ya pamoja ya kufikia lengo la afya kwa wote. Nawashukuru sana nchi wanachama kwa imani kubwa mliyonionesha. Tunapokabiliana na changamoto mpya na zinazoendelea katika mifumo ya afya barani Afrika, dhamira yangu ni kushirikiana na wadau wote kuimarisha mifumo hiyo, kuendeleza usawa, na kuhakikisha kuwa hakuna anayesahaulika. Safari hii ni yetu sote. Twende pamoja kwa mshikamano na maono ya pamoja. Asanteni sana.
Takiribani vijana 292,758 wamefikiwa na mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanamtoto katika kipindi cha mwaka mmoja (Sept 2023 – Oct 2024) na kupatiwa elimu ya afya ya uzazi ikiwemo elimu kuhusu njia mbalimbali za uzazi wa mpango.
👩⚕️Midwives are the frontline heroes ensuring safe pregnancies and brighter futures for mothers and newborns, yet they face significant challenges. Together, we can change this and create healthier communities.
Source: https://t.co/UXdEZGocf3
#midwiferyeducation#healthcare
@SwahiliBible Enzi zile nilitenga muda wa kusikiliza hotuba ya mwezi ya President. Ilikuwa ni wakati mzuri sana wa kusikia mustakabali wa nchi yangu. Ikiwapendeza wenye mamlaka waturudishie huu utaratibu.
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS) kimepokea msaada wenye thamani ya TZS 31 Mil kutoka mradi wa USAID Afya Yangu Mama na Mtoto ambao unasimamiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Jhpiego. Msaada huo ni vifaa vya kujifunzia kwa vitendo.
Tanzania Jhpiego in partnership with USAID and Ministry of Health Zanzibar through MCGL Project,we subgranted CPHK /LDF as local actor to facilitate assessment of barriers in routine immunization services and design interventions to improve uptake of RI