NAFASI YA KAZI
Data base Administrator anahitajika
Company name: HR World Limited
Email : [email protected]
Soma post vizuri kuona kama una fit for the position ๐
Kijana ana uzoefu wa miaka mingi katika taaluma ya agriculture na project management, pamoja na hayo amesimamia project mbalimbali kama inavyoonekana kwenye maelezo yake
Tafadhali retweet na kama kuna mahali unajua anaweza pata kazi pia weka kwenye comments atasoma
Retweet ๐๐ฝ
NAFASI ZA KAZI! Retweet please
Chuo cha Stella Maris Mtwara uni wanatafuta waalimu wenye masters za Physics,Chemistry,biology, Mathematics kufundisha undergraduates
Minimum GPA ya 3.5
Tuma cm yako kwenye email hapo chini
@rollymsouth thank you for sharing โค๏ธ