Katika kuendeleza jitihada za Serikali za utunzaji wa mazingira kuandaa vitalu na upandaji miti ni moja ya njia ya Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijiji (EBARR) .Mradi huu unatekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
"Sikia Sasa, Mtag Mmachinga WaKidigital Hapa Twitter Na Mwambie Ajisajili Kushiriki Mkutano Utakao Fungua Uwezo Wa Kiuchumi Na Kijamii...
Link Ya Ya Kujisajili 👇
https://t.co/2Ra3spTopP
#UwezeshajiKiuchumi#ElimuYaFedha#AfyaYaFedha#MachingaCampaign
Je, unafahamu machinga ni nani?
'Pata Fursa ya kujua Machinga Ni Nani na kuchangia mada kwenye jukwaa la Maendeleo ya Sekta ya Fedha 2022.'
Jiandikishe hapa 👇 kuweza kushiriki
https://t.co/2Ra3spTopP
Jiunge katika Jukwaa la Maendeleo ya Sekta ya Fedha 2022 kujadili mada hii muhimu.
"Namna bora ya kufungua uwezo wa kijamii na kiuchumi kwa wa machinga"
Karibu utoe mawazo yako.
Ili kushiriki, jiandikishe hapa 👇 https://t.co/2Ra3spTopP
#AfyaYaFedha#ElimuYaFedha