Mahakama ya Kenya imebatilisha uamuzi wa Rais William Ruto wa kuunda kikosi kazi kufanya ukaguzi wa kitaalamu wa deni la umma, ikisema mpango huo ni kinyume cha katiba.
Mahakama imesema Rais alivuka mamlaka yake ya kikatiba kwa kuunda kikosi kazi hicho ambacho majukumu yake yanafanana na yale ya taasisi huru iliyoanzishwa chini ya Katiba.
@swahilitimes Huyu Hana tofauti na wale wakatoliki feki waliotumwa kumshitaki Padri Kitima. Drama sasa zimeamia CDM Kwa Heche. Nchi hii ujinga huu hautaisha...watu wanajilinda kijinga jinga tu.