Ni wachache sana wenye vitambi “WALIONONA” wanaweza ku tweet vitu vya msingi, Washusha nondo wote hapa twitter ni miti mikavu,Hawana steki kabisa.”WAMEKONDA miili Wanene akili 🤣”
Wataalamu wa "strategic provocation" wamefanikiwa. CCM wamesubiri kwa miaka mingi Chadema kukaa pembeni. Sasa imetimia. Wamefanikiwa. Tumecheza karata yao!
2019: Walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa. Matokeo? CCM walishinda 99.7% ya viti.
2020: Walishiriki. Lissu akapata 13% ya urais, viti 19 bungeni.
Usiposhiriki, unawapa ushindi bila jasho.
Ukishiriki, unatoa matumaini & unabeba hoja.
And Mbowe anastahili heshima yake for what he has done kwa demokrasia ya nchi hii kwa miaka yote… Historia ya vyama vingi haiwezi kumsahau hata kidogo……
BARAZA KUU KATAENI UPUUZI HUU WA AIBU USIYOMITHILIKA.
KAMA TAMISEMI ...KAMA CHADEMA .KUNAZIDI KUPAMBAZUKA.
HUKU NDIKO KUNAKO ITWA KUJICHIMBIA KABURI.
WAALIOKATWA
1. Mwal. GRACIAN MUKOBA
Rais Mstaafu wa TUCTA
Rais Mstaafu wa CWT
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa
Kagera
2. Dr. Pollyn MSOFE
Daktari wa binadamu mwandamuzi.
Katibu wa Chadema Mkoa wa Ubungo.
3. Mama. HOSIANA KUSIGA
Afisa Mipango Miji mwandamizi, Mkuu
Wa Idara ya Ardhi Jiji la Mwanza
Mstaafu.
Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa
Mwanza.
4. Adv. MWANGASA
Wakili Mwandamizi na wakili
anayesimamia kesi za CHADEMA.
5. Mzee Sadrick Malilo Ikuwo
Mmiliki wa kituo cha redio, mfanya
biashara na msomi wa ngazi ya
shahada.
Mwenyekiti wa Mkoa wa Rukwa
Mstaafu miaka 15.
6. Rose Mayemba
Mfamasia na mfanyabiashara wa kati
Mwenyekiti wa Chama Mkoa wa
Twaha Mwaipaya
Mfanyabiashara, Kijana chama mpambanaji.
Mwenezi wa BAVICHA Taifa mwenye rekodi ya uchapa Kazi.
8. Jerome Olomi
Mfanyabiashara, msomi mwenye shahada
Katibu wa Chadema Mkoa wa Ilala miaka
9. Askofu Mwanamapinduzi
Askofu wa kanisa
Mgombea Ubunge wa Itilima 2020 mwenye kura nyingi kulikoni wote 2020 Kanda nzima za Serengeti na Victoria.
Hawa wote wameachwa.
hii kwenye soka inaitwa kujifunga dk za mwishoooooooni....
Huku ni kujiandaa kuwa na chama cha 15 kati ya vile vyama 14 vya wababaishaji?
FAM unatakiwa kukisuka chama upya, badili muundo wa Chama kiutendaji na kiuwajibikaji fumua Sekretarieti ziunde upya watu wapya.
Twende tukajenge chama @freemanmbowetz
MAUAJI YA KIM JONG NAM: UDIKTETA WA KOREA KASKAZINI.
Kim Jung nam alikuwa kaka wa kambo wa Rais wa sasa wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, kama ilivyo kawaida ya madikteta wote Kim Jong Un a.k.a Kiduku anaua mtu yoyote anayehisi kutishia umilele wake kwenye kiti cha enzi.
Nam alionekana kuwa tofauti na utawala wa kiimla wa Korea Kaskazini toka enzi ya babake Kim Jong Il, hivyo Kim Jong Un akamuondoa.