@NamdiAzikiwe@ccm_tanzania Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mtu akizoea kula nyama ya mtu hataishia hapo dhambi hiyo itaendelea,ndiyo yanayoendelea kite nchini sio huko geita tu.wakiisha wanyonge kuonewa,hata vigogo wataonewa tu na kutishwa
@Getrude_mollel Huyu mtoto chipukizi amejitahidi kuwashawishi wajumbe wamchague kuliko hata watu wazima wanao omba nafasi mbalimbali za chama na serikali
@TheChanzo Duh! Makala hii nimeisoma nimeumia sana Hadi machozi yamenitoka,yaani wanaotakiwa kuwa walinzi wa raia na Mali zao,wanageuka mbogo na kufanya ukatili Kwa raia,na wengine hata hawana hatia
@osmanmadrid2@MariaSTsehai Uko sawa kbs wengi wetu hawajafatilia historian ya islael na parestina ndio maana wanawalaani Hamas,Hawa waliunda kikundi hiki Ili kuwatete waparestina amabao wamekupa wakinyang'anywa ardhi Yao,tena Kwa kukiuka hata maazimio ya Baraza la usalama la UN