Kuna msee aliniuliza ukipata 500k sahi utafanyia nn nkasema ntabuy superbike ya 250k, gym membership ya 1year 50k, hio ingine n rent mamae na food nkajua nko na akili
Poch ananipeleka on a dangerous run hapo UCL. On 5th June 2027 hapo Estadio Metropolitano nainua kikombe ya maskio kubwa. This has been shown to me in a dream 👍🏿
Ugly boy from east ndio kuamshwa na makelele za wamama kwa ploti ati nyoka imetokea kwa dirisha yangu only to realize ni morning boner,naangalia risky text nilituma Jana napata imevalishwa jezi ya Chelsea,nabaki nikijiuliza kwani rib yangu ilipeanwa nani,may the lord have mercy.