@mangekimambi Wale watoto wa shule waliouawa pale Iran dhidi ya mashambulizi ya anga ya Marekani waliuliwa na Iran? Kuna muda nyie wanaharakati kuwaamini ni ngumu sana.๐ฎ
@HuruJoshua41794@mangekimambi Steve whitkoff anaomba ceasefire ila Iran kupitia spika wa bunge wamegoma. Sasa kama Israel na Marekani wanaongezewa nguvu, ceasefire yanini?
Kosa mali upate akili.
@VungaEl74 Kuna kitu usichokijua ni kwamba hakuna mfumo wa ulinzi wa anga unaoweza kufanya interception ya makombora lukuki kwa wakati mmoja. Mifumo ya ulinzi ya anga ya Iran inaonekana dhaifu kwakuwa inashambuliwa kwa wakati mmoja na mamia ya makombora. Angalia hata Ile ya Israel pia.
@VungaEl74 Ulivyo kilaza unatuambia iron dome ni mchina. China hana Iron Dome ila ana HQ-9, Iron Dome ni ya Israel. Kingine hakuna mfumo wa ulinzi unsoweza kufanya interception ya makombora lukuki kwa wakati mmoja. Utapangua baadhi lkn mengine yatapenya.