Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
Wakuu nahitaji madili ya pesa nataka part-time job wakuu kama kuna mtu yupo hapa DSM anataka mtu wa kumpigia kazi naomba anicheki nakabiliwa na shortage of cash hii ndo indicator ya umasikini.😢😢💔