Coronavirus ni ugonjwa ambao unasambaa katika maeneo mbalimbali duniani ukisababisha wagonjwa wengi, pia vifo vimeripotiwa. Ingawa mpaka sasa Tanzania haijapata maambukizi yoyote ya ugonjwa huu ni muhimu sana kufahamu dalili zake na kujikinga kama anavyoeleza @JuliethSebbaMD