โTumeliona tangazo la Waziri mwenye dhamana (Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI) likionesha kufuta baadhi ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Ngorongoro, nimepitia vifungu hivi na mimi (Mwabukusi) kama wakili na mwanasheria hakuna kifungu chocote cha sheria kinampa Waziri kufanya hilo alilolifanya, kifungu cha 30 alichokitumia ni kutafsiri kwa upotovu na ni kinyume cha sheria, tunamtaka Waziri mwenye dhamana atoke atuoneshe hiyo sheria tofauti na ile ambayo wengine wote tunayo ni ipi? ilitungwa lini na nani kupitia bunge lipi? Kifungu cha 30 kipo wazi kinazungumza mamlaka ya Waziri, kifungu hiki hakuna mahali popote kimempa Waziri mamlaka ya kufuta, na Watanzania tuelewe kitu kimoja, tunapozungumza watu wa asili katika eneo lao ni watu ambao walikuwapo hata kabla ya sheria hizi kuanza kufanya kazi, unaweza kuweka mipaka lakini huwezi kuwafuta watu kwenye eneo lao la asili na wala Waziri hana hayo mamlaka kwa mujibu wa sheria aliyodai kuitumiaโ- Mwabukusi.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi akizungumza asubuhi ya siku ya Jumanne Agosti 20, 2024 jijini Dar es Salaam.
POLISI, mwanamke anayejiuza anaweza kupigwa miti na watu watano hadi akaomba maji? Badala ya kupewa maji, wanaomfira wakamtishia kumpasua na chupa za bia? Anajiuza, anaambiwa amuombe msamaha afande? Polisi mnalichafua Jeshi la Polisi na kulifanya lionekane ni kitu cha hovyo.
JINSI YA KUTUMIA NGUVU YA MWEZI KUKUFANYA KUWA MWENYE BAHATI..waswahili wanasema mvuto au nyota safi ila mimi sio mswahili bhana.
Mimi ni mchawi mtakatifu eboo๐
Mwezi unafanya maji kupwa, maji kujaa...huoni kama una influence kubwa kwako ambaye mwili wako asilimia 75% ni maji?
@prossoff Kuna utofauti mkubwa sana kati ya elimu na akili (intelligence)
Kama huyo binti hana elimu ila ana akili, usimwache.
Kama hana elimu na hana akili, kimbia haraka sana. Atakuja kukuzalia watoto mbulula.
Hakuna kitu kinauma kama kuona mwanao anaandika 2+2=7. Inakata sana.
Mwanamke wangu kipenzi ni @lifeof_nono ni mwanamke mrembo na mpambanaji sanaโฆNapenda kushinda nae kwasababu itaniongezea upendo kati yetu โค๏ธ
Kupitia repost yako moja tutafika repost 2000, letโs do it ๐ช