@DrKessyJulius1@drmartinejr@stiliwati@GeorgeJob14@rafajohn18 Binafsi hapa naona usie na akili ni wewe unayeforce kila mtu afatilie siasa.. job yuko sahihi kuuliza shida mnajiona vichwani mko smart sana ila kwa ground ni takataka, msiforce kila mtu ajue mnachojua kila mtu ajue lake.
@Henrybenjamin28 @TheRealJongwe Yeah but uhalisia hauko hivyo, elimu kwetu ni kama sehemu ya wasifu tu ila haiwakwamui watu kwenye swala zima la kimaisha, kuna wakati tunaomba pesa kwanza akili zitakuja tu..