@HildaNewton21 Mwanadamu anamipango yake ila Mungu pia ana yake ikiwa Mungu anataka yeye abaki ndani kwa usalama wake itakuwa hivyo na baada ya muda atatoka ila na kama anataka yote tuyapitie ili tusaidiwe nae hatuna budi kupata msaada wake kwa kumuomba maana wanajua wakimtoa tu atauawa risasi
@TheRealEkiswaga it's just a matter of time kila mwenye kutenda uovu ataulipia labda Mungu si wa kwetu sote tupo pale na tutaona endelea kushangilia pia
@TweveDevota chanzo ni pale ccm walipoamua kuua viongozi waliokuwa wagombea wa chadema kwenye uchauguzi wa 2019 serikali za mitaa na kuanza utekaji pia