@godbless_lema@Yohan72083553 Kaka mimi naungana na ww njia yako ilikuwa nzuri. Tatizo wajinga wanapenda kutumia njia moja kwenye mapambano alafu wakibwana kwenye njia yao bado wanajiona washindi wakati kiongozi kafungwa
@godbless_lema Hata mimi nimeshangaa alafu bado heche anaitisha kikao chakuchamba. Kweli watu hawakosiriasi. Yani Tundulissu angejua watu anaowapambania nahis angekaa ale bata