@Dominicksalamb1 Lakin hao wote walikuwepo na wameshindwa kufikisha point 9 caf champion league,misimu mi3 mfululizo.hiyo timu ishaoza inasubiri kunuka tu.
@Dominicksalamb1 Battery yako kichwan imevimba ndugu mwandishi,hao walioingia robo final mara moja wakiwa kwenye ubora wao,na mara zote hawajai kufika hata point 9 🤣🤣😅,ukwel ni kiwa mvuto umepungua kwako sababu timu unayoipenda imetolewa.