Marioo kagombana na Mbosoo
Marioo kagombana na Ibraah
Marioo kagombana na Black
Marioo kagombana na Vanilla
Marioo kagombana na mavokali
Marioo kagombana kadhulumu influence.
Kunatatizo kwa Jamaa sio sirii 😂😂
Kundi kubwa la watu wenye maambukizi ya UKIMWI ni vijana wa miaka 14-25 na maambukizi yameongezeka kwa asilimia 33.3.
Kwenye hilo kundi jipya wanawake ndo wanaongoza.
Umri huo bado ni wanafunzi wa shule, tuweni makini uko nje kwa moto.
Source: Itv News
Mtu Anasafiri Kutoka TANZANIA Mpaka MAKKAH MADINAH Kuzuru Kaburi La MUHAMMAD Wengine Wanasafiri Hadi YERUSALEM Nchini ISRAEL Kuzuru Kaburi La YESU Wanaacha Kuzuru Makaburi Ya Mababu Zao Wanasema Eti Ni MIZIMU Mungu Hapendi. Kwani Muhammad Na Yesu Siwalikua Binadamu Kama Mababu Zetu. Yaani Wao Wanawaita Watu Wao Waliokufa WATAKATIFU Halafu Wakwetu Wanawaita MIZIMU.
@NoblyHD Huwezi kunishawishi hata kidogo ,Kwa Yale mnauoyafanya aisee siwez ,ni sawa hili nyama nguruwe lkn unafira ,unauwa,unauwa,unaamini majini ,unatangaza uganga ,huo wema uko wapi