@BrendaRupia Mkutano kwann muupeleke eneo la soko lililo na watu wengi kila siku? Hafu mmewabananisha watu kwenye korido za hapo soko kuu.
Hata hivo hiyo idadi ni ndogo sana,ingekua chadema ile ya enzi za Mbowe ingekua balaa
RIP @ChademaTZ2
@safarimlevi Mna siasa za kishamba sana nyie zero brain,sheria inaruhusu mtu kuhama &kujiunga chama chochote..
Jifunzen kwa wenzenu wenye akili,Bwege alihama Act na sikusikia tusi wala porojo za kumchafua..na msibani wakaja bila kinyongo.
Ila mtu ahame cdm sasa mtamtukana sana.
Hovyoo
@VictoryTheCham1@Sativa255 Watu siku hiz wenye akili hawaishi kwa mshahara, mshahara unaweza saidia kupata mtaji wa kuwekeza ktk biashara zenye kuleta mabilioni..
Hii mentality iliyopo ya kuchukia watu waliofanikiwa ni ka ushamba flan kanakokua kwa kasi now days kwenye jamii.
@Ntobi_@YerickoNyerereT Pesa zinalipwa kwa wahamasishaji tu wenye majina,walioandamana ni waliohamasishwa, thus's why hatujasikia madenge,Newton,Sativa &co kwamba wamepgwa risasi wakati wa maandamano.
Haya mambo ndg ni project za watu na ni kweli kuna pesa zilikuwa znasambazwa kmya kimya kwa waratibu