👉UONGOZI: ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo.
👉Kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa.
👉Kiongozi bora hana muda wa kulalamika bali anatafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi au watu
LOVE
🙏Ukweli ni kwamba, nitakapoenda sigeuki tena nyuma kamwe, usione nakuambia kwa maneno sasa hivi ukijua nakutishia au lah nakuogopesha ili uonekane hujiwezi kwangu🙏
Ulipoenda kwake ulikuta kitanda na godoro na mito miwili, then ukajiona wewe ndiyo kidume now nataka nikuulize swali, kwanini hukuhoji hiyo mito miwili inatumikaje na nani wakati ni yeye peke yake anaishi hapo?
Wanaume acheni kulogwa bila ndumba🚮🚮🚮
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF)Mama Anna Mkapa kwenye chakula cha hisani kilichoandaliwa na mfuko huo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam Jana
📸-O/Waziri Mkuu
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro Jana akizungumza na wanafunzi wa kozi ya awali ya askari Polisi katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo IGP Sirro aliwataka wanafunzi hao kuendelea kuheshimu nafasi waliyopewa na serikali ya kuhudhuria mafunzo hayo ya awali.