26.03.2021
Magufuli is a philosophy, a philosophy we will live by until the day our country stands high as a beacon for hope of our brothers and sisters in Africa and all her descendants.
Farewell Father, President, Friend PAN-Africanist, Mwamba, Chuma, Jiwe @MagufuliJP
๐๐ฟ
@mbunge_taifa255 Katika mazingira hayo, Bunge na mfumo wa Serikali huingia kwenye mchakato wa kuhakikisha kuna uongozi wa muda na kisha uchaguzi wa Rais, kwa mujibu wa masharti ya Katiba.
How many subscriptions does your business pay monthly?
If it takes more than 10 seconds to answer, you're probably spending more than you think.
TAREHE helps you track every renewal and payment deadline in one place.
Start for free: https://t.co/q09CQ2KKzL
#TAREHE#SaaS
๐ก Small subscriptions become big expenses when nobody is watching.
Stay ahead of every renewal and keep your software costs under control.
#BusinessGrowth#SoftwareManagement#Subscriptions#TAREHE
https://t.co/stco0dgGpB
@mangekimambi Hii ndiyo njia bora zaidi. Mungu pekee ndiye atakayetusaidia, si Mmarekani wala Mzungu. Mwisho wa yote, kila Mtanzania atasema sifa na utukufu ni kwa Mungu, ambaye hakuna jambo linalomshinda. Tujiandae kwa uamsho mkubwa wa Injili utakaotokea Tanzania baada ya hawa wahuni kutolewa
@Dr_DGwajima Taifa lina viongozi wanaokosa maadili wezi, mafisadi na wanyanyasaji. Halafu wanakuja na mikakati ya kupambana na mmomonyoko wa maadili wakati wao ndio chanzo. Kabla ya kufundisha wengine, waanze kujirekebisha na waache kutumia fedha za umma kwa mambo yasiyo na tija.