@k_mjege kuna vitu viwili
01. Inflation /Mfumuko wa bei, samani ya pesa hushuka kila siku kwa sababu ya inflation
Mfano bei ya gari 2011 ni 13,000,000 after miaka 10, gari hilo nilauziwa kwa 27,000,000
Kiwago cha kati cha Mfumuko wa bei ni 5%.
02. Rare material. Demand and supply.
We do not initiate war, but we are built to finish it. Facing the Ethiopian National Defense Force is a choice you should have reconsidered.
Ethiopia ๐ช๐น
Mtu amefanya tathmini Akamua kuuza kiwanja chake kwa 12M! Akamshirikisha Dalali. Dalali akamshawishi kuwa kiwanja hicho hicho anaweza kupata mteja wa 40M!! Wakafikia hutimisho mwenye kiwanja atapata 30M tu; zitakazozidi ni halali ya Dadali. Dalali kapata mteja kwa 55M; Mwenye mali hataki kuuza tena! Hataki dalali apate 25M Nzima kirahisi hivyo!
Nimetembea Tanzania Nzima sijaona watu wajinga kama wazaramo ๐ฎ๐ฎ
Mtu ana watoto 5 bado amepanga nyumba hana Biashara nzuri na bado anaendelea kuzaa na hana hata presha ya kutafuta hela ๐ฎ๐ฎ๐ฎ