@killo_killo11 Hii ndio sababu sitongozi hovyo hovyo na silali na mwanamke yoyote, kuna HIV na kuna virusi HPV akipata mwaume anapata saratani ya hajakumbwa au yakoo.
Bando Garama ya matibabu na muda unapotea...
Baki njia kuu ๐ bro.. Stay single until you find the one.
@Adambrv Serikali yetu ipo vinzuri kwenye mipango ila utendaji akuna kabisa.
Just imagine Aya masola yange kuwepo uko Singida, Tabora, Shinyanga au Dodoma maeneo ayo kuna juwa kali, pia mazingira yanaruhusu.
@Temujr_@VelvetAp223 Just imagine, na request huduma anakuja mmama wa miaka 35 akati miye na miaka 25.
๐ Kutoka na picha niliona ana miaka kama yangu, kumbe nime request huduma ya mama...
@Temujr_@VelvetAp223 Naona wote ni wakumbwa, bora kungekuwa na sehemu yakuonyesha umri wa makadirio.
Mfano siyo lazima uandika miyaka harisi, Bali Fanya hivi 22- 24... yani uyu anawenza kuwa na miaka 22,23 au 24.
๐ Lengo ๐ฏ nifahamu na fanya mapenzi na mtu wa umri wangu au mzee.
@Ngattaboe99 Maza wangu anasoma Sana vitabu, ata mimi sikufahamu kuwa napenda kusoma vitabu.
Nilijikuta na shindadani kusoma kitabu, maza akawa ananunu vitabu ninavyosoma muda mrefu.
Vitabu vya mfumo wa biography, autobiography na memoir.
๐ Pia napenda kuandika kwa mkono ๐ coz I have..
@Haloteltz mnashida gani? Yani ukihitaji kutumia HaloPesa app lazima ununue data ndio uweze kutumia HaloPesa app.
Nikitaka kufanya miamala siwenzi Tumia Halopesa app kwenye Wi-Fi , siwenzi mpaka nitumie mtandao mwingine kufanya miamala.
๐ Mbona mitandao mingine haipo hivyo...