“No options left” is often just exhaustion talking. When we’re tired, disappointed, or stuck, it’s easy to give up. But the next possibility appears only after we take a breath, ask for help, change the angle, or try the thing that feels too simple to matter.
FANYENI REHEARSAL KAMA MNATAKA KUIMBA LIVE…!!
Otherwise, just accept kubakia “studio artists” tu.
Badala ya kuwekeza kwenye nguo, magari, mabodyguard, fake chains & fake views, hebu;
• Fanyeni rehearsal 1-2 weekly, hata kama hamna show.
• Mkienda gym fanyeni Cardio badala ya weightlifting
• Lipeni WAPIGA BENDI vizuri, na hela unazitunzwa wape kama Bonus
• Fanya rehearsal na bendi sio unawapa nyimbo wewe hutokei
• Sikiliza mawazo ya wapiga bendi, kuwa nao kitu kimoja na sio ujione wewe unawaamrisha tu
• Study show za wakali wengine, ujifunze some techniques za kuboresha show yako
• Kwenye rehearsal, fanya kila kitu ambacho unatarajia kufanya kwenye show. Kama uta dance, basi dance pia huku una practice
• Train your breath control, ukifanya cardio uwe unaimba pia ili ujue maeneo yaku pause, na kujifunza pacing (kulingana na performance time)
• Sahau kuhusu “Hit Song” yako. Unapofanya live, technically ni kama unafanya kitu kipya. So mambo ya kuimba neno alafu unanyamaza mashabiki wamalizie, linakufanya huonekane huwezi live… IMBA
• Tambua audience; sio kila hadhira iko familiar na nyimbo zako hata kama ziliwahi ku-hit… mfano awards za kimataifa zinaangaliwa na watu ambao sio mashabiki wako, na pia wanaangalia kupitia TV. Sasa wewe ukiwa unanyamaza eti mashabiki waitikie, potential new fans wanaona hujui au umesahau mistari huku kwenye TV.
• Ukitaka kuimba ki superstar kwa kunyamaza nyamaza, basi kuwa na strong BVs (Back Vocalists) ambao ume practice nao vya kutosha
Mwenye masikio na asikie! Dancers, Mataa, Nguo, Moshi au Cheche za stage hazitoweza kukuokoa wala kuficha udhaifu wako
The Leader.
January 8 marks the 30-day countdown to the 9th Asian Winter Games. On the 7th,I visited the Asian Winter Games emblem at the Sun Island Snow Expo and sang the event's theme song, "Snow in Harbin." #9thAsianWinterGames#Harbin
.🧵𝐍𝐈𝐊𝐊𝐈 𝐌𝐁𝐈𝐒𝐇𝐈
📌 Qualified EMCEE, Huyu hakuruka hatua Kama ilivyo kwa wengi
Kwa maana amekuwa
"BATTLE RAPPER" na akavuka hatua akiwa CHAMPION na TOP TIER
(Mbele ya Wakali kibao ,akina mkristo , zillah (r.i.p)
Siyo hao wanajiita Wakali 👇
📌Acha Leo niandike hili
Comments nyingi huwa mna attack, na kusema namchukia DIZASTA
Nimchukie kwa lipi?
Kanikosea Nini?
Shida Mashabiki zake ni Kama mpo desperate, na mnataka kila maada inapozungumzwa Hiphop atajwe ,HELL NO
Nimesikiliza Muziki muda mrefu , wasanii kibao👇