The Indefatigable Fighter and Untiring Revolutionary.
Rais wa Vijana wenye Ukombozi wa FIKRA Duniani; Mjumbe wa AGM~LHRC๐น๐ฟ ๐๐๐.
WAGALATIA 4:16๐ฅโ๏ธ.
Baada ya Viongozi wa @ChademaTz Jimbo la Morogoro Mjini kushindwa kujua Cha kufanya katika wakati huu ambao taarifa za sintofahamu ni nyingi, Wanachama wameamua kuzungumza na waandishi wa habari.
"Upinzani ni MOYO wa Demokrasia, na Katiba Mpya ndiyo PUMZI yake. Bila Katiba huru, Upinzani hufungwa mikono; kwa Katiba Mpya, wananchi hupata NGUVU ya kweli."
Makala.
Mwanachuo, Chuo cha Usafirishaji.
Kuanzia Leo Jumatano, 14 Mei 2025.
Nitakuwa napost kauli za watu zenye tija kwa Taifa.
Ili ni post kauli yako nitahitaji:-
1. Picha yako
2. Nafasi/Kazi yako.
3. Ruksa yako.
Karibu tuelimishe Umma.
AKILI TU.
Vyama vyetu vya Siasa ni vile vile na Wanasiasa wetu ni wale wale.
SIASA ni kama JENGO la vyumba vingi lenye ENTRY and EXIT.
Mtu huamua kuwa kwenye chumba kinacho~MEET INTERESTS zake.
N.B; Kama hukumleta CHUMBANI, akiondoka usimzuie wala usimtukaneโ๏ธ.
@ArchRuke
Ila @ccm_tanzania nadhani kina maigizo mengi๐คฃ๐Yaani @ChademaTz ndo wanaweza kupumzika kisa wao?.
Huyu yeye hata Mimi naweza kumpeleka mpelampela.
@ChademaTz ifike mahala iwaambie Wananchi kuwa @tanpol wakitaka kukamata mtu kwa Mazingira yasiyo Rafiki wahakikishe wanawagawana, maana Inaonekana Polisi wasipoleta vurugu hakuna Vurugu.
Nafikiri sasa @tanpol imeshahama kutoka ULINZI wa RAIA ipo kwenye ULINZI WA CCM.
Shame!.
Ni Bora ukae kimya katikati ya watu ili wabaki wanajiuliza huyu Jamaa kichwani zimo au ni NANGA?
Kuliko ukasema ukawathibitishia kuwa wewe ni NANGA.
How comes RC ALBERT CHALAMILA akatoa kauli chafu kama ile kwa mama Mjamzito๐ค.
Kama SI pombe basi ni NANGA.
@SuluhuSamia ondoaโ๏ธ
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.