@Royaltv_plus Unaridhiana na mtu uliyokosana nayo....
Swali,Na lini CHADEMA WALIKOSANA NA SERIKALI?
Serikali imekosea watanzania kupitia
1.ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
2.Tume ya uchaguzi
3.ofisi ya DPP
4.jeshi la polisi na task force ya kuuwa na kuteka.
Nini kifanyike wanajua....
@JamiiForums Akili mgando...
Huko anakotaka waweke showroom kumejaa hakuna viwanja.nimepata kiwanja buza kwa nini nisiweke biashara yangu na kisha nafanya matangazo online !!
Hii ni dharau kwa watu wa buza na mbagala
@Jambotv_ Mna MHAHO si kitoto moto ndo kwanza unawashwa ukikolea sijui itakuwaje na hapo hawako bungeni mnaweweseka kiasi hiki vipi wangekuwa bungeni hata 10 tu.
Maana mngewazuia huku bungeni wangesema tena wangewasemea wananchi sio nyie mnakisemea chama kilichochoka,maana bila dola hampo.
@HildaNewton21 Kitu ambacho hawajui ni kuwa haohao wanaopanga nao pia waliumizwa na mauaji ya October 29,hivyo hakuna mpango watakaoufanya na usivuje.
Acha wazidi kupoteza muda 2030 ifike hawajaweka mambo sawa waone NGUCHIRO watavyowakataa mchana kweupe .
@godbless_lema Hawa watu wanakuja na drama kututoa kwenye reli...
Hizi mambo zitaenda tunasahau siku 100 za mchakato wa katiba na hoja muhimu kwa sasa...na mbaya zaidi hizi siasa sizokuwa na tija wana,ozifanya watawala imetuondolea concentration ya mradi muhimu mpaka kenya wametupiku.
@mbunge_taifa255 Kuna shida kubwa sana.ukimsikiliza mwenye maandamano utaona hajajiandaa kuandamana na ukimsikiliza mlinda amani unagundua hajajiandaa kulinda amani ila amejikita kwenye kuita maandamano VURUGU na anamtishia muandamanaji eti mbona unaogopa na katika mazungumzo hakukuwa na kitisho!
@dammiedammie35 USA are spoiling football https://t.co/WHgyG6uTZI could one support their national team in such big tournament without their national flags.