Arusha one Radio tuko tayari kukujuza yote yanayojiri hapa nchini Urusi ambako tumekita kambi siku ya 15 sasa
Miongoni mwa mambo yatakayojiri ni pamoja maonesho ya teknolojia mbalimbali za usalama,kilimo na sayansi
Rais wa shirikisho la Urusi amesema Afrika ina uwezo wa kuzalisha chakula na inachohitaji ni teknolojia tu ili iweze kuzalisha chakula kwa kiwango cha kutosha
Rais Putin ameyasema hayo leo hapa Mjini St.petersburg ambako @arushaonefm tumetia kambi katika mkutano wa kilele
"Idadi kubwa ya vijana tulionayo Afrika ni fursa ya kipekee kwa ajili ya mageuzi ya kiuchumi, badala ya kuwaacha vijana hawa wa-cross hizo bahari wapigwe njiani wazamishwe kwamba wanaenda Ulaya kutafuta maisha bora, maisha bora watayapata Afrika tukiwaendeleza" - Rais Samia
MKURUGENZI mtendaji wa puma Energy, Fatma Abdallah amesema hawana changamoto ya uhaba wa mafuta hivyo imewataka wananchi kupuuza taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu changamoto hiyo.
Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák anatarajiwa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam leo Julai 17, 2023 kwa ziara ya kikazi ya siku 3.
Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika, Rais Samia Suluhu Hassan amewasisitiza Watanzania kujitafakari iwapo wanashiriki vyema katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kuwa ni jukumu la kila mmoja.
Maadhimisho hayo yamefanyika leo Jumanne Julai 12, 2023
Ikiwa leo ni siku ya Kiswahili Duniani @arushaonefmtz tunajivunia Galacha wa lugha ya kiswahili na utamaduni wa Mswahili Prof. Abdulrahim Al Bakhathir ambae unamsikiliza kila jumamosi saa 2-3 Asubuh akifundisha kudadavua vilivyo misamiati,misemo na historia ya lugha ya kiswahili
amesema wabunge waliokuwepo Leo Bungeni ni 374 na wasiokuwepo 18
Dkt. Tulia amesema waliopiga kura za ndio ni 354 kura zisizo za uamuzi (Abstain) ni 20 na kura za hapana ni 0.
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge limepitisha bajeti kuu ya Serikali ya mwaka wa fedha 2023/2024 kwa kupiga kura 354 sawa na asilimi 95
Dkt. Tulia ameyasema hayo Leo Juni 26, 2023 wakati akitangaza matokeo ya kura hizo ambapo
WABUNGE leo watapiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/24 baada ya kuijadili kwa siku saba.
Serikali iliwasililisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali ya Sh trilioni 44.39 kwa mwaka 2023/24 ikiwa na vipaumbele kadhaa vikiwamo vya ukamilishaji
“Wazazi na walezi wanaposhindwa kufuatilia mienendo ya watoto wao na kuchukua hatua kila tunapogundua mabadiliko ya kitabia ya watoto wetu, ndipo tunapowapoteza watoto wetu.” – Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2023/24 bungeni jijini Dodoma amependekeza kuondoa ada kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne na kupangiwa kujiunga na vyuo vya ufundi kwa vyuo vya Dar es Salaam, Mbeya na Arusha.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na wadau wengine imebainisha jumla ya miradi 48 inayoweza kutekelezwa kwa utaratibu wa ubia na sekta binafsi
Mwigulu amesema utaratibu huo ni sehemu ya mpango wa kimkakati wa serikal
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/24.
Ukomo wa bajeti ya mwaka ujao wa fedha ni shilingi trilioni 44.38 kwa mujibu wa mwelekeo wa bajeti uliowasilishwa bungeni Machi mwaka huu.
na baadhi ya kadi zipo tayari huku nyingine zikiendelea kutengenezwa hivyo, kufikia mwishoni mwa mwaka 2023 wanaostahili kupata vitambulisho watakuwa wameshavipata.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema kuwa, katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23, Serikali ilitenga fedha takribani Sh bilioni 42.5 kwa ajili ya ununuzi wa kadi za Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambapo fedha hizo zote tayari zimeshalipwa
Meneja wa chumba cha kuhifadhia maiti cha shule ya mafunzo ya matibu ya Harvard Medical School na wengine watatu wameshtakiwa kwa kununua na kuuza viungo vya mabaki ya binadamu
Cedric Lodge inadaiwa alichukua "vichwa, ubongo, ngozi na mifupa" kutoka kwa maiti
Klabu ya Yanga imetangaza Uamuzi wa kuachana na Nasreddine Nabi ambaye amemaliza Mkataba wake na kuamua kuondoka
Baada ya kumalizika kwa Mkataba Uongozi wa Yanga ulikutana na Nabi kwa ajili ya mazungumzo ya kusaini Mkataba mpyalakini aliomba kuondoka ili akapate changamoto mpya