Hapana bro yeye sio special, ni kichwani mwako ndio unadhani hivyo.
Mwanamke special ni yule anaekuweka wewe kama kipaumbele chake
- attention yake
- investment yake
- nidhamu na utii wake
na sio vyenginevyo.
Mojawapo ya SUPERPOWER unayotakiwa Kuijenga Kama Mwanaume ni...
"Uwezo wa Kukaa Peke Yako"
P. S. Mwanaume hutakiwi Kabisa Kuogopa Kuwa Peke Yako...that's how you become POWERFUL!
Learn to Walk away from ANYTHING!
1. Anataka kuonekana kila wakati🚩
2. Tatoo na vipini puani🚩
3. Hajibu sms zako kwa wakati na sio mfanya kazi🚩
4. Kama hujamtafuta inaweza kwenda siku nzima bila kuzungumza nae🚩
5. Hakuweki mtu wa kwanza(kipaumbele chake)🚩
6. Marafiki wa kiume 🚩
Kitu kikubwa kuhusu wanaume ni kwamba hata kama wako na furaha ndogo katika ndoa, watapuuza hilo.
Mwanamume atatoa sadaka siyo tu furaha yake, bali pia maisha yake kwa ajili ya familia yake.
Lakini
Mwanamke atatoa sadaka familia yake kwa ajili ya hisia zake.
Wanawake wana uaminifu katika hisia zao tu, hakuna kingine.
Tunapaswa kuwa makini na hawa wanawake wa kisasa.
Wanawake wa kisasa haoni kazi kuvunja ndoa na kwenda kuolewa papo hapo kwa mwanaume mwingine. Lakini, mama zetu wangebaki kwa ajili ya watoto wao na kujaribu kusuluhisha uhusiano kati yao na watoto wao au kukaa nyumbani na kuzingatia malezi ya mtoto.
Mwanamke haumizwi kwa kuacha mtoto nyumbani akinywa maziwa ya ng'ombe na mfanya kazi wa ndani kwa kulinda shape na mwonekano wa matiti.
Hawafui tena madaso ya mtoto ni dada wa kazi anafua? Where are we going?
Siku hizi, wanawake wa kisasa hawana heshima; watapigania kuhusu haki na usawa, unakuta mke haoni kazi kwenda polisi kumshitaki mume can you imagine.
Mambo 4 mwanaume utulize akili na usiumize akili
1. Unapopambana kujitafutia maisha yako
Unapoona rika lako wanafanya makubwa usiumize akili tuliza akili unajipangaje utoboe relax ukiumiza akili sana halafu ukafeli lazima iume upate shida ya akili
2. Unapokaribia umri wa kuoa
Hapa tuliza akili sana fanya maamuzi yaliyo sahihi usiongozwe na nyege wala outside presha lazima uoe au una kila kitu lazima uoe ....Tuliza akili mtangulize Mungu
3. Jinsi ya kuishi na mwanamke
Usiumize akili sana kuishi na mwanamke ....wanawake hawaelewakagi wakati mwingine wasikuchanganye sana ukapoteza network ....kama una hasira za haraka au kuoanic kwa haraka hapa lazima ujifunze kucalm down usije kuoata stroke aisee au ukamaliza mtu
4. Jiangalie tabia zako za ndani
Hapa naamanisha kuna watu wanamihemko au panic ya haraka sana na hii hali hawapendi ila ndio walivyo sasa wanaumiza sana akili wanatokaje hapo
Kikubwa ukishajijua wewe ni mtu wa kuoanic hasira dakika 0 tuliza akili usipende sana kujichanganya na watu kwenye pombe au kusikiliza story za ukatili ....jipe muda mwingi mwenyewe mwenyew utaepuka na vingi
- Mwanamke anapokupuuza au kutaka kukuacha anataka aone kama utakuwa mjinga na dhaifu kihisia na kuogopa kumpoteza
- na usipofanya ujinga huo atakuheshimu na kuna uwezekano mkubwa atarudi
- lakini ikiwa hatarudi, kuwa na amani na songa mbele.
- Goals before hoees.
KUMBUKA,
Kuna watu wanapiga hela kwenye madhaifu yako:
- Acha kula bidhaa
- Acha kula breakfast
- Acha kula mara kwa mara
- Acha kubugia madawa unavyojisikia
- Acha kula vilivyosindikwa
- Acha sukari, soda na energy
- Kuwa na ratiba ya mazoezi
- Funga mara nyingi zaidi
- Zingatia vyakula vya alkaline
- Daima kunywa maji mengi
#Jeshilam2m1
KUMBUKA...
1. Mwanaume haongozwi na hisia
2. Mwanaume hahitaji kuonewa huruma
3. Huhitaji kujisikia kufanya jambo
4. Pesa ni thamani, tengeneza thamani
5. Kusudi na malengo ndio nguzo
6. Comfort zone imeua ndoto nyingi
7. Jenga nidhamu, usiishe kwa motivation
8. Akili ni kama bustani, chochote kitastawi
9. Ukiwa na na msala, tatua, kulalamika ni kupotza muda tu
10. Unakoweka attention yako, energy inaenda
- Be wise -
#TutoboewoteFest
Wanawake wana idea ya kile wanachofikiria wanataka lakini kile wanachovutiwa nacho ni tofauti kabisa.
Mind you women are loyal to their feelings more than your sacrifices.
Zelensky kuhusu uvumi wa kufanya mazungumzo.
"Sijui unatoka wapi na ni nani anayeuandika. Kila mtu anajua mtazamo wangu, maoni ya wa'ukreni kuhusu jambo hili, Tumesikia mara kadhaa kuwa wanatuchochea kufanya huko Ramstein, lakini hakuna na hakutakuwa na kitu kama hicho." Amesema
Zelensky anatarajiwa kutembelea Israel mapema wiki ijayo.
Mipango ya ziara ya Rais Zelensky nchini Israel wiki ijayo iko katika hatua za mwisho, gazeti la Times of Israel limeripoti likinukuu taarifa za Channel 12.
Utawala wa Biden hauoni dalili ya nia ya Putin kufanya mazungumzo na Ukraine.
Putin bado anaamini kwamba anaweza kusubiri mpaka Magharibi iache kuipa Ukraine misaada Ili ashinde vita, NBC imenukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema.
Ukraine yapokea Archer.
Waziri wa Ulinzi wa Sweden amethibitisha kwamba Ukraine imepokea mifumo 8 ya Makombora ya Archer kutoka Uswidi. Archer ni mojawapo ya mifumo bora zaidi duniani.
ISW: kusonga mbele kwa Ukraine kumesababisha hasara kwa Urusi.
Maendeleo ya hivi majuzi ya Ukraine katika eneo la magharibi la Zaporizhzhia na kusini mwa Bakhmut ni ushahidi kwamba vitengo vya Urusi katika maeneo hayo vimepata hasara kubwa. Imeripoti ISW.