@Addy_Adams Hii ni mataa ya veta ulikua msafara wa โ100 tulikaa foleni karibu masaa 2 hakuna nzi kukatiza alivyopita tu yule askari alikua anaongoza gari alitoka nduki๐จ kupisha bodaboda
@ReganTesla_ Mm hii napinga โ wiki 3 nyuma dogo alipata ajali ya boda akavunjika mfupa wa paja, tukampeleka MOI hakuna cha hogo wala antenna. Waliunga wanavojua wao dogo sasa hivi anatembelea magongo