@jemedarisaid Mimi nadhani hilo shinikizo lako litamaliza marefa kama hao Simba wangefunga magoli bila kutegemea marefa haya malalamiko ya marefa yangepungua
@MickyJnr__ Acha upuuzi uwanja haukaguliwi kwa macho tu au uonyeshwe kwenye picha una uhakika siku na Al masry ndio tuliona aibu yetu wacha watu waufanyie matengenezo yenye uhakika tuna Afcon na Chan tuache papara viwanja viko vingi tuache mazoea ukiwa na timu nzuri popote ushindi upo
@YerickoNyerereT Kuondoka kwa viongozi hakusabishi watu kuendelea kuamini chama na piano watu hawafuati mtu kwenye chama bali hufuata sera hao wanaonekana walikuwa kwenye chama kwa maslahi yao