@HusseinBashe@JumaRaj47200243 Mh katavi ni miongon mwa mikoa ambayo inazalisha mazao sana hapa tz sisi kama vijana tunaomba wizara yako ituwekee mashamba huku kama ya BBT maana tumeomba BBT wengi tumekosa na hyo ndio shughuli pekee inaweza kutuinua kiuchumi kama vijana