Bro yani una miaka 25+, umesoma na vyeti vyako kama vyote ila hauna ajira, upo nyumbani kwa wazazi, hata vocha hauafford ni unaomba kwa washikaji au mama, halafu anatokea mtu anakazi ya 220K still unasema Hapana? That cant be me! Mtembea bure si sawa na mkaa bure.
๐จ๐คฏ From 0-2, minute 67โฆ to 3-2 with Frimpong (72โ), Schick (92โ) and Schick again (97โ).
๐ดโซ๏ธ Bayer Leverkusen advance to Europa League quarter finals and make it 3๏ธโฃ7๏ธโฃ games unbeaten!
Qarabag, eliminated.
Shoutout kwa wana wote ninaoishi kwenye timeline zao na wanaoishi kwenye tweet zangu japo sina content kama mabroo ila nyie ni watu poa sana ๐ ipo siku ntamibeba kwenye lori ๐๐
Ndugu @rollymsouth sasa umefurahi? Roho yako imeridhika? Lakini nikuhakikishie tu, bwana mdogo huyu, Issa Mwamba (anajiita Sukununu) atakuwa uraiani na ataendelea na shughuli zake. Tutampa msaada wa kisheria. Ipo siku moja, utayatimba na tutakuwa hapa kukumbusha. Haupo salama.