A première league icon.
An African great
Egyptian King.
A football legend
What a player and what a career he’s had with Liverpool.
The premier league will miss you Mo. Good luck for your future endeavours.
Wengi mlioreply negatively hapo mmetumia emotions badala ya akili
Some wrote "kwaya ya mtakatifu Muhammad " is that not mocking?
Sisapoti mgawanyiko , try have some respect
We all want our rights
United we stand ,but Don't mock one religion kwa kigezo chua tupo pamoja
#TajiriLaKihaya
Mm nitakua wa mwisho kuamini kwamba ICC ndio Suluhisho letu au WAZUNGU ndio kimbilio letu…
Binafsi kwa GENOCIDE inayoendelea GAZA,SUDAN,CONGO nk. Na wameshindwa kusaidia hata kunusa Pua…
Njoo kwa maraisi walioongoza miaka mingi Afrika,anzia CAMEROON,Njoo UGANDA kata kona uingie RWANDA…
Kumbuka mauaji yaliyotokea KENYA 2007, yalidumu muda mrefu kuzidi hapa Tanzania… walichoambulia ni kuhudhuria kesi tu huko the Hague lakini mwisho wa siku UHURU na RUTO wakatunukiwa URAISI…
Wazungu hawatupendi kiasi hicho wala hawatutakii mema- wao wapo
Kukidhi MASLAHI yao Binafsi… wakipewa uhakika wa kuendelea Kunyonya Resources zetu hawana muda na uongozi kwanza kukiwa na Instability ndio furaha yao waendelee kutupuna…
Very Opportunistic beings… angalia Ukraine wamewasaidia kwenye Vita ila bado Marekani wamewalazimisha wasign mikataba ya kuwapa Madini…
Point yangu ni nini haswa;
Tuwekeze kwa kujipambania wenyewe… ukombozi wa kweli ni kujikomboa wenyewe…kila mtu kwa nafasi yake!
Tupo karibu kufika tunapopataka…
1/2.
Kuna siku historia huamka tofauti siku ambayo hofu hukimbia mitaani na njaa ya haki huchoma mioyo kuliko moto.
Disemba 2010 Katika mji wa Sidi Bouzid kijana mmoja aliyeitwa Mohamed Bouazizi aliamka alfajiri akabeba toroli lake dogo la matunda akapita mitaani akitafuta wateja.
Lakini Polisi walimzuia, wakampiga kofi, wakampora mizigo, wakamdhalilisha hadharani. Ilikuwa ni kofi dogo tu kwao lakini ulimwengu mzima ungekuja kulisikia.
Kumbuka Ilikuwa Disemba 2010 ambapo Tunisia iliyojaa ukimya wa muda mrefu, taifa lililozoea kutii amri za juu bila kuuliza, taifa lililokunywa sumu ya woga kwa miongo miwili chini ya Rais Zine El Abidine Ben Ali.
In 2002 Roberto Carlos saved his shirt after the UCL final and was asked if he would ever swap that shirt.
He said "One day the greatest CB would come around and I would be swap my shirt with him." He went on to put that in his will.
Yesterday, he swapped that shirt with VVD.
Shilingi 500 yako inaweza kuleta mabadiliko
👇
Habari kiongozi
Mdogo wangu DAUD JULIUS NYABASOBA ambae ni mwanafunzi wa SUA course ya Bsc Animal science first year 2024/2025
Anasumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya tezi (B-cell Lymphoma)
Hivi karibuni amepata changamoto ya damu kupoteza uwezo wake wa kuganda kutokana na upungufu wa chembe sahani (Blood platelets)
Tunaomba wenye uwezo wa kujitolea kutusaidia gharama za matibabu
Mpaka Sasa tunadaiwa zaidi ya milioni mbili pamoja na dawa tunalipia elfu 68 Kila siku
Kwa atakaehitaji kumtembelea amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, Jengo la MWAISELA hodi namba sita (WARD 06)
Mawasiliano.
0757602302 / 0714078987 - Daniel Nyabasoba
0776223447 - Samwel Julius Nyabasoba
Michango ya matibabu
M-pesa 0757602302
Mixx by Yas 0714078987
(DANIEL JULIUS NYABASOBA)