JUA LINAZAMA NOUMA STUKA MZEE: short thread 🧵
✍🏻Karibu Tanzania mwanangu ,karibu Simba Sc mwanangu pia karibu kwenye show za Zimbwe Jr mwanangu huenda waliokupa deal hawakukuambia ila mimi acha nikutonye kwenye Dunia ya beki 3 basi Zimbwe Jr ndio Rais wao jua linazama hilo…👇🏾
@Palilo11 @MdemuPolycarp Na hardpan huchangiwa zaidi kutokana na matumizi ya jembe aina ya disc plough. Ukiwa unaanzisha shamba ni nzuri zaidi kutumia disc plough lakini baada ya msimu wa kuanzisha shamba jembe zuri na bora kutumia ni mouldboard plough