Tume ya uchaguzi inayopatikana kwa kuteuliwa na mmoja wa wagombea ( rais aliyeko madarakani ) sio Tume huru kwa sababu inatokana na kiongozi wa mwanachama wa chama cha siasa.
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
“Wananchi wamekubaliana hakuna kwenda kwenye uchaguzi pasipo mabadiliko ya Katiba mpya, Vipo vyama shikizi ambavyo vinakwenda kinyume na maono ya wananchi” — @DEUSDEDITHSOKA#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/v22SchnHMn
Katiba bora, watawala ni wananchi, serikali ni wananchi, asilimia kubwa ya viongozi wanapotoa kauli wanaondoa nguvu ya maoni ya wananchi katika utawala na maamuzi. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/HSeTXW3qeL
Hatua ya kwanza ni Katiba bora kuruhusu mapendekezo ya wananchi kuheshimika na kutumika katika kufanya maamuzi au kuchukua hatua za kisheria. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/p4QOZi8s3L
Katiba ya wananchi imesubiriwa kwa muda mrefu, kuchelewa kwa katiba inachangia kwa kiasi kikubwa sana masuala yasiozingatia haki za binadamu nchini , Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa kwenye eneo hili. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/p4QOZi8ZTj
Wananchi huwakilishwa, Bunge ni chombo cha wananchi kusimamia serikali, Tanzania tuna bunge ambalo linaweza sisimama upande wa serikali na wananchi wakakosa haki ya kuwashughulikia wabunge
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Wananchi wanapochagua viongozi wao kuwawakilisha haina maana kwamba wanapoteza nafasi ya kuchukua hatau mpaka uchaguzi ufike, Mifumo ya sheria bora hutoa nafasi kwa wananchi kuwajibisha viongozi wao.
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Wananchi wanapopiga kura utoa dhamana ya madaraka, sio kwamba wanapoteza haki yao ya kuongoza nchi, au maoni yao kudharauliwa na walioshinda chaguzi
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Wananchi huwakilishwa, Bunge ni chombo cha wananchi kusimamia serikali, Tanzania tuna bunge ambalo linaweza sisimama upande wa serikali na wananchi wakakosa haki ya kuwashughulikia wabunge
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi