Makusu (28) 🇨🇩 ni moja kati ya washambuliaji mahiri sana. Mwezi may 2019 alivunjika mifupa miwili ya mguu wa kushoto. Amerejea tena uwanjani 5 Oct 2020 baada ya mwaka mmoja na miezi 5. Makusu alikuwa anajiandaa RS Berkane ya Morocco kabla hajavunjika na dili hilo kufa.
#SikilizaTogolani "Toa toa tip kwa mabaunsa na mhudumu. Vile watakavyokuwa wanakupokea kwa bashasha na kukuita jina lako la kwanza inakupandisha thamani sana mbele ya wateja wapya na wageni unaokwenda nao eneo lako la starehe". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
@Tanfootball mna la kusema juu ya mkanganyiko uliojitokeza miongoni mwa wapenzi/washabiki wa mpira wa miguu Tanzania!? Amkeni mseme neno! Ukimya wenu/sauti yenu ndo mustakabali wa soka letu! Amkeni muhesabiwe!