@NEGRO4241561575@fumbokhanJr Huyo KDB mwenyewe alishatubu kwa Bruno… the Difference ni kwamba Bruno yupo kwenye United mbovu… and hiyo ni FACT hata kwenye Consistency… angalia namba za Bruno
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.