๐HABARI PICHA:
Leo Aprili 05,2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Bara Mhe.John Heche, akisalimiana na Wananchi wa eneo la Mingoyo - Mnazi Mmoja mkoani Lindi akiwa njiani kuelekea Mtwara Mjini ambapo atafanya mkutano wa hadhara.
Chaguo la wananchi.
Kati ya @TunduALissu na @freemanmbowetz nani kati yao anafaa kukiongoza chama hiki kikuu cha Upinzani kukivusha katika Giza hili totoro
Re post kwa Lissu. ๐
Like kwa Mbowe. โค๏ธ