@tarangire8@godbless_lema Ufunuo wa Yohana 15
4 Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.
Ufunuo wa Yohana 15
Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.
@Mwabuk2Boniface *When sadness fill you're heart ,when you're tears flow in you eyes remember three things
1. God is with you
2. God still with you
3. God always with* you
@Dr_DGwajima@fatma_karume Kwenye swala la maadili kwa kizazi hiki kimeshuka kinaweza weza kuwa kinakaribia negative .. majukwaa wa kisiasa mnawatumia hao wasanii wanao tembea uchi wa mnyama then mtegemee jamii yenye maadili ? Hili ni tatizo kubwa .. lakin mnakuja kuanza kutatua matokeo badala ya chanzo๐ญ
@Dr_DGwajima@DedanWangwe Mheshimiwa kumbe kunyasika nako kutatatuliwa na chama husika ?
Hivyo hao vijana kama sio ccm watasubiri mpaka chama Chao kifuate utaratibu?