@Advocate_Jebra@SuluhuSamia@tanpol Kwani Mwanasheria hao watakuwa wa kwanza kushtakiwa na kesi hiyo tena yenye ushahidi? Watu wameuwawa na wako jela kwa zaid ya miaka 20 sasa na hakuna haki
@DrCyrilo@ACTwazalendo Niwakumbushe kati ya tundu lissu na Shekhe Ponda nani kapitia madhira makubwa ziaid kuliko mwingine? Ponda kapitia kila aina ya misukosuko na mlikuwa mnamkubali ila hajajiunga na chama chenu amekuwa adui